STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 22 Julai 2015

CHELSEA WAFANYA TUKIO LA AINA YAKE MAREKANI


Wachezaji wa Chelsea wamewasili mjini New York na kushiriki shughuli za kijamii na klabu ya vijana ya Harlem FC.  

Diego Costa, Gary Cahill na wachezaji wenzake walicheza mechi na vijana chipukizi wanaosimamiwa na Taasisi ya kijamii ya Harlem.
Chelsea players take part in a friendly match with local youngsters from Harlem

Mapema wiki hii, Kocha msaidizi wa Chelsea, Andrew Ottley aliiambia Tovuti ya klabu kwamba: "Nimekuwa nikija Harlem kwa miaka mingi, naendesha kozi za ukocha na  kliniki kwa wachezaji vijana wanaoishiaeneo hili".

Kesho Chelsea wakiwa na jezi mpya watacheza dhidi ya New York Red Bulls katika mechi ya kirafiki ya maandalizi ya msimu mpya kabla ya kwenda kuchuana na PSG siku ya Jumamosi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox