STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 3 Julai 2015

HAMIS KIIZA AANGUKA MIWILI SIMBA SC



Baada ya kufuzu vipimo Mshambuliaji Hamisi Kiiza amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba ya Dar es Salaam.
Kiiza ambaye ni mshambuliaji wa zamani wa Yanga aliwasili jana akitokea nchini Uganda kwa ajili ya vipimo na kumalizia mazungumzo na uongozi wa Simba.
Akiwa nchini, Kiiza alisema amekuja kufanya kazi na Simba ambapo mashabiki wengi wanatamani kumwona uwanjani ilikujua kama kasi yake itaendana na mikiki ya timu ambazo zimefanya usajili wa nguvu kama Yanga na nyinginezo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox