STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 1 Julai 2015

MOURINHO ADAI CITY NA SOUTHAMPTON NDIO WALIOMPA WAKATI MGUMU MSIMU ULIOPITA.

MENEJA wa Chelsea, Jose Mourinho amesema Manchester City na Southampton ndio walikuwa wapinzani wagumu kwa kikosi chake msimu uliopita. 

Chelsea walifanikiwa kunyakuwa taji la Ligi Kuu simu uliopita wakimaliza kwa tofauti ya alama nane mbele ya City walioshika nafasi ya pili. 

Hata hivyo Chelsea walipata wakati mgumu katika mechi zao dhidi ya City na Southampton na Mourinho amekiri timu hizo mbili zilimpa wakati mgumu kila alipokutana nazo. 

Mourinho amesema Ligi Kuu ni ngumu kulinganisha na nyingine kwani kila timu ni nzuri na zinatoa changamoto jambo ambalo linachangiwa kwa kiasi kikubwa na uwezo wao kifedha ambao unatoa nafasi hata kwa timu ndogo kusajili wachezaji wazuri.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox