STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 20 Julai 2015

ORODHA YA MAREFA WATAKAO CHEZESHA EPL MSIMU UNAO TARAJIWA KUANZA HIVI KARIBUNI


Waamuzi wanaotarajiwa kuchezesha takribani mechi 380 
za ligi kuu ya Uingereza ambayo siku chache zijazo inaanza kutimua vumbi katika viunga tofauti vya miji mbalimbali ya pale England.

Waamuzi hawa, kwa kuanzia ni kwamba kuna chombo kinaitwa "Professional Game Match Officials Board" chini ya Mwamuzi wa zamani Mike Relay.

Chombo hiki kiliundwa na chama cha waamuzi wa soka pale England, chini ya Relay. Pia kuna kamati zingine ambazo hutekeleza majukumu ya uteuzi wa Waamuzi kwa kuzingatia uzoefu na umakini katika mechi za ligi.
 Pia
chombo hiki kina kazi ya kuajiri Waamuzi wapya na kuwapandisha daraja Waamuzi wanaoonekana kufanya vyema ngazi za chini,

Lakini kama unavyofahamu majina ya Waamuzi 15-20 ambao watachezesha mechi za kila wiki hutajwa mwanzo wa msimu, lakini suala la mechi gani nani atachezesha mara nyingi hupangwa siku chache kabla ya mechi husika ili kuepusha njama za upangaji matokeo, hapa chini nimekuwekea Waamuzi wote watakaochezesha mechi za Epl msimu wa 2015-16

WAAMUZI NA UMRI WAO

1 Martin Atkinson {43}

2 Mark Clattenburg {39}

3 Mike Dean {46}

4 Phil Dowd {51}

5 Roger East {49}

6 Chris Foy {52}

7 Kevin Friend {43}

8 Mike Jones {46}

9 Robert Madley {29}

10 Andre Marriner {44}

11 Lee Mason {43}

12 Jonathan Moss {44}

13 Michael Oliver {29}

14 Craig Pawson {35}

15 Lee Probert {42}

16 Neil Swarbrick {49}

17 Anthony Taylor {36}

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox