STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 18 Julai 2015

OSCAR AFUNGUKA HATMA YAKE CHELSEA



Mbrazil, Oscar amejifunga Chelsea kuelekea msimu ujao wa ligi kuu England  licha ya kuwaniwa na Juventus.

Nyota huyo mchezeshaji wa Chelsea amekuwa akihusishwa kujiunga na Juventus ingawa bado Jose Mourinho anamuona kama mchezaji muhimu kwenye klabu.

Oscar ambaye yupo na Chelsea mjini Montreal katika kambi ya maandalizi ya msimu mpya, amesema hana mpango wa kwenda Italia.

The Chelsea playmaker had been linked with the Italian club but is planning a long Stamford Bridge stay


"Najua kuna mengi yanazunguzwa kuhusu Juventus, lakini nina furasa sana

 Chelsea," amesema Oscar, " Mwaka uliopita nilisaini mkataba mpya, nataka kukaa muda mrefu Chelsea. Sijawahi kukosa furaha kama wanavyosema".

Oscar, 23, kwasasa yuko fiti baada ya kushindwa kuitumikia Brazil katika fainali za Copa America kutokana na majeruhi.Pia alikosa mechi za mwisho za msimu 
uliopita katika klabu yake ya Chelsea.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox