STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 20 Julai 2015

UEFA CHAMPIONS LEAGUE KIVUMBI KUTIMKA LEO

Michuano ya Uefa Champions League inatimua vumbi leo kwa timu zile zinacheza raundi ya kwanza ya kufuzu.

Klabu ya Dila Gori ya Geogia inakabiliana vikali na Partizan Belgrade ya Serbia, huku FC Pyunik ya Armenia ikichuana uso kwa uso na Molde ya Norway.
Milsami ya Boldova itapimana nguvu na Ludo Bulgaria.
Ratiba ya mechi zote za Klabu Bingwa barani Ulaya leo hii hapa chini:


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox