STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 24 Julai 2015

VAN GAAL AMTAMKIA MANENO HAYA DE GEA KUELEKEA GAME YA BARCELONA


Louis Van Gaal amemwambia golikipa wake, David De Gea kwamba anataka acheze dhidi ya Barcelona katika mechi ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumamosi nchini Marekani ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa Premier League.

Matatizo ya mgongo yalimuweka nje ya uwanja, De Gea katika mechi mbili za Manchester United nchini Marekani, lakini Van Gaal baada ya kumpeleka Hospitali mjini California kufanyiwa uchunguzu, imeonekana hana tatizo.

De Gea has recovered and Louis van Gaal expects him to play some part in Saturday's clash with Barcelona

Wakati msimu mpya unakaribia kuanza, De Gea ameonesha kutaka kuondoka Old Trafford kwenda Real Madrid, lakini Meneja wa Man United imesema anatakiwa ku-focus kuitumikia klabu yake ya sasa.

Jumanne ya wiki hii, De Gea aliombwa kuungana na wenzake kwenye 'warm-up dhidi ya San Jose Earthquakes, lakini hakufanya lolote, ila sasa Van Gaal anatumaini kwamba atacheza dhidi ya Barcelona mjini Santa Clara.

Van Gaal amesema: "Nina matumaini kwamba anaweza kucheza dhidi ya Barcelona. Alipata majeruhi (mapema wiki hii), nimemwambia akasimame golini kuwaongoza washambuliaji wangu, lakini asifanye chochote kinachoweza kumpa madhara" Amesema Van Gaal.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox