STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 5 Julai 2015

VIDEO; HAYA NDIO MATUTA YALIWAPA USHINDI CHILE JANA, HIGUAIN DUUH, CHEKI HAPA MIKWAJU YOTE....

Baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 120, mshambuliaji wa Arsenal ya England, Alexis Sanchez alifunga penalti ya nne ya Chile na kumaliza mchezo, baada ya Gonzalo Higuain na Ever Banega kukosa mfululizo mikwaj yao. 
Waliofunga penalti za Chile mbali na Sanchez wengine ni Charles Aranguiz, Arturo Vidal na Matias Fernandez, wakati Lionel Messi alifunga penalti pekee ya Argentina. 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox