STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 5 Julai 2015

HII KALI; BAADHI YA MECHI KATIKA MSIMU WA LIGI KUU ENGLAND KUCHEZWA IJUMAA.

KLABU ya Aston Villa inatarajiwa kucheza na Manchester United Ijumaa usiku katika mchezo wao wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Uingereza. 

Mchezo huo unatarajiwa Agosti 14 kwasababu zisizoweza kuzuilika na kurushwa moja kwa moja na luninga ya michezo wa Sky. 

Polisi wa West Midlands walikataa mchezo huo kuchezwa Jumamosi kwasababu ya kuwa na shughuli zao huku mchezo huo ukishindwa kusogezwa mbele Jumapili kwasababu ya United kuwa na mechi ya Ligi ya Mabingwa katikati ya wiki inayofuata. 

Kwa mujibu wa mkataba mpya wa matangazo ya moja kwa moja ya luninga kutakuwa na mechi nyingi za Ligi Kuu zitakazochezwa siku ya Ijumaa. 

Zaidi ya mechi 10 za ligi zitachezwa Ijumaa usiku na kurushwa moja kwa moja katika luninga kuanzia msimu wa 2016-2017 ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya mkataba huo uliosainiwa Februari mwaka huu ambao utamalizika mwishoni mwa msimu wa 2018-2019.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox