STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 19 Agosti 2015

MANCHESTER UNITED YAANZA KUSAFISHA NJIA.....


Mashetani wekundu, Manchester United wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji katika mechi ya kwanza ya raundi ya mwisho ya mchujo wa Uefa Champions League iliyopigwa usiku huu uwanja wa Old Trafford.

Mapema dakika ya 8', kiungo wa Man United, Michael Carrick alijifunga na kuwapa goli la bure Brugge, lakini nyota mpya Memphis Depay alifuta bao hilo dakika ya 13'.

Dakika ya 43', Depay akarudi tena kambani akiandika goli la ushindi kwa kikosi cha Louis van Gaal.
Dakika ya 90 Marouane Fellaini aliandika goli la tatu.


Timu hizo zitarudiana Agosti 26 na mshindi wa Jumla atafuzu hatua ya makundi.
United watahitaji  suluhu au sare ya aina yoyote au kufungwa 1-0  ili kusonga mbele.
MATOKEO YA MECHI ZOTE:

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox