STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 19 Agosti 2015

JE, CRISTIANO RONALDO ANAJIANDAA KUCHEZA LIGI KUU NCHINI MAREKANI?


Baadhi ya wachambuzi wana-bet kwamba sio miaka mingi tutamuona Cristiano Ronaldo anahamia kwenye ligi ya Marekani (MLS) ambayo hivi sasa inaonekana kuwa na mvuto wa kibiashara.
Hii inathibishwa na magwiji wengi kuhamia katika ligi hiyo.
Gazeti la New York Post limeandika kwamba Ronaldo amenunua aparment ya kifahari kwenye jiji la New York. Appartment hiyo ipo kwenye moja ya magorofa ya bilionea Donald Trump. 
Lakini hiyo apartment wakati Ronaldo anainunua ilikuwa inamilikiwa na mfanyabiashara wa real estate Alessandro Proto.
Sasa swali linabaki je, Cristiano anajiandaa kuhamia kwenye ligi ya MLS au ni moja ya jinsi ya kutumia pesa zake?.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox