STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 19 Agosti 2015

PUMA YATENGENEZA MPIRA WA KIDUKU, PIA YAMTENGENEZEA BALOTELLI KIATU CHENYE KIDUKU, NOMA SANA





Kampuni ya vifaa vya michezo ya Puma, imetengeneza mpira wenye kiduku.


Sijui utachezwa vipi, lakini kampuni hiyo imeanza kwa kumtengenezea Mario Balotelli kiatu chenye kiduku.



Mario Balotelli hana namba katika kikosi cha Liverpool, lakini hiyo haijawazuia Puma kumtengenezea kiatu cha aina yake maana kina kiduku.


Kiatu hicho chenye kiduku kimeonyesha kuwashangaza wengi lakini ndiyo atakuwa anakitumia Balotelli akiwa na Liverpool na Italia.



                                        TIZAMA MUONEKANO WA KIATU HICHO













Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox