STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 25 Agosti 2015

SAFARI YA DAVID DE GEA KUSEPA YANUKIA BAADA YA KUTEMWA KWENYE KIKOSI.......

PAY-Manchester-United-Squad-prepare-to-fly-to-Brugge
Kikosi cha Manchester united kimesafiri kwenda kucheza mchezo wa marudiano dhidi ya Club Brugge ambapo kwa mara nyingine tena kipa David De Gea ameachwa na kikosi hicho.

Taarifa nyingine zinasema kwamba De Gea hajaficha hamu yake ya kuhamia club yake ya nyumbani alipozaliwa ambapo ni Real Madrid.

 Matukio haya yanayotokeaa yanapata moto sana kutokana na taarifa nyingine kwamba wakala wa De Gea yupo jijini Manchester tayari kwa ajili kushugulikia ishu ya De Gea.


Kutokana na siku chache kubaki, tutegemee taarifa yoyote kuhusu David De Gea kwasababu mchezaji huyu bora wa Manchester united kwa msimu uliopita anategemea kucheza na sio kukaa benchi tena.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox