STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 8 Septemba 2015

BONDIA WA MWISHO KUZICHAPA NA MAYWEATHER AWEKA MSISITIZO....

 Bondia Floyd Mayweather amesisitiza kwamba Andre Berto ndiye bondia wa mwisho kupigana naye katika pambano lao la Jumamosi.


Amesema tofauti na wengi wanavyamini atapigana tena, pambano hilo la 49 ndiyo litakuwa la mwisho kwake na anataka kushinda kubaki na rekodi yake ya kutopigwa daima katika ngumi za kulipwa.

Pambano hilo litafanyika katika Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas, Marekani na tayari tiketi zimeanza kuuzwa na zinakaribia kwisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox