STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 8 Septemba 2015

KIBURI CHA KUFUZU EURO 2016 UINGEREZA MAPEMA WAMESHA FANYA BOOKING YA HOTEL UFARANSA ,TIZAMA MUONEKANO WA HOTEL WATAKAYO KUWEPO...



Ni kawaida sehemu ambayo hutarajia kupokea watu wengi katika kipindi fulani, bidhaa na vitu vingine hupatikana kwa gharama za juu sana, kutokana na mkusanyiko wa watu wengi na kama unahitaji baadhi ya huduma za sehemu hiyo kama hotel, vyakula na vingine kwa urahisi lazima ufanye booking.

2C0C2C1800000578-0-image-a-43_1441637317114

Timu ya taifa ya Uingereza imeshaanza kufanya maandalizi ya michuano ya EURO 2016 itakayofanyika Ufaransa, Uingereza imefanya booking ya hotel na kuomba kupata huduma maalum kipindi watakapokuwa hapo, sambamba na gharama ya pound 500 kwa usiku mmoja ambayo ni zaidi ya Tsh milioni 1.6 za Kitanzania kwa chumba.

2C0C2C7E00000578-0-image-a-52_1441637317517

Huduma watakazo pata Uingereza za VIP ni pamoja na huduma ya treni, uwanja wa mazoezi pamoja na ulinzi kwa usalama wa timu yao. Tayari shirikisho la soka Uingereza FA kupitia kwa kocha wa timu hiyo Roy Hodgson limethibitisha kufikia katika hotel ya Auberge du Jeu Paume na kuomba kupata huduma za VIP.

2C0C2C3200000578-0-image-a-44_1441637317115
2C0C2C6A00000578-0-image-a-57_1441637317642
2C0C2C0400000578-0-image-a-51_1441637317410
2C0C2C4600000578-0-image-a-56_1441637317633
2C0C2C5B00000578-0-image-a-46_1441637317164
2C0C2C9A00000578-0-image-a-49_1441637317334
2C0C2C7E00000578-0-image-a-52_1441637317517
2C0C2C9600000578-0-image-a-53_1441637317534
2C0C2C2B00000578-0-image-a-45_1441637317116
2C0C2C3C00000578-0-image-a-55_1441637317555
2C0C6E7D00000578-0-image-a-47_1441637317213 (1)

Uwanja wa US Chantilly utakarabatiwa kabla ya timu ya taifa ya Uingereza kufika hapo . Mwendo wa dakika 4 kutoka mahali watakapo fikia

2C0C307300000578-3225346-image-a-70_1441639348682
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hodgson kulia sambamba na msaidizi wake Gary Neville

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox