STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 8 Septemba 2015

TIZAMA VIDEO NA PICHA ZA MASHABIKI WA MASUBO FC WAKIFANYA YAO KWENYE FAINAL YA KAPOMBE CUP....

 Kwenye uwanja wa Sabasaba uliopo manispaa  ya Morogoro kulishuhudiwa Fainali ya Kapombe Cup  siku ya jana tarehe 7/9 na kushuhudia Mawingu fc wakiibuka na ushindi wa penati 5-4 dhidi ya Masubo baada ya kutoshana sare ya kufungana goli 1-1 ndani ya muda wa kawaida.

 Licha ya burudani ya ndani ya uwanja lakini mashabiki wa Masubo walikuwa ni moja ya kivutio katika mchezo huo tizama picha hizi:



           





TIZAMA VIDEO HII YA MASHABIKI WA MASUBO FC WAKIFANYA YAO




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox