STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 28 Septemba 2015

KIKOSI CHA TAIFA STARS KITAKACHO WAKABILI MALAWI.....

Kocha msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco (kushoto) akiwa na mshauri wa benchi la ufundi la timu hiyo Abdallah 'King' Kibaden
Kocha msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco (kushoto) akiwa na mshauri wa benchi la ufundi la timu hiyo Abdallah ‘King’ Kibaden wakati wanatangaza kikosi cha Stars kitakachoingia kambini

Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania ‘TaifaStars’ Hemed Morocco leo ametangaza majina ya wachezaji watakaoingia kambini kujiandaa na mechi dhidi ya Malawi kuwania kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia mwaka 2018 nchini Urusi.

Morocco amesema kikosi kitaingia kambini Octoba 1 tayari kuanza mazoezi ya kujiwinda na mechi hiyo itakayopigwa Octoba 7 mwaka huu kwenye uwanja wa taifa Stars ikiwa mwenyeji wa mchezo huo.

Walioitwa kwenye timu ya taifa kujiandaa kwa ajili ya mchezo wa Malawi ni wachezaji wafuatao;
Magolikipa:
Ally Mustafa (Yanga), Aishi Manula (Azam FC) Said Mohamed (Mtibwa Sugar)
Mabeki:
Shomari Kapombe (Azam FC), Mohamed Hussein, Hassan Isihaka (Simba SC), Juma Abdul, Haji Mwinyi, Kelvin Yondani, Nadir Haroub (Yanga SC)
Viungo:
Himid Mao, Mudathir Yahya, Frank Domayo, Farid Mussa (Azam FC) Salum Telela, Deus Kaseke Simon Msuva (Yanga), Said Ndemla (Simba SC)
Washambuliaji:

John Bocco (Azam FC), Rashid Mandawa (Mwadui FC), Ibrahim Ajib (Simba SC), Mwana Samatta, Thomas Ulimwengu (TP Mazembe-Congo DRC), Mrisho Ngassa (Free State Stars-Afrika Kusini).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox