STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 27 Oktoba 2015

CHELSEA KUKIONA CHA MOTO MBELE YA FA...................

Chelsea ahabuKlabu ya Chelsea ya jijini London inakabiriwa na adhabu pamoja na faini kutoka kwa chama cha mpira England FA kutokana na utovu wa nidhamu uliopelekea kadi 6 za njano.

Sheria za FA ziko wazi kuhusu adhabu za kadi, na kwamba kadi sita za njano ukijumlisha na nyekundu ya Nemanja Matic, Chelsea sasa inakabiriwa na adhabu moja kwa moja.

Aidha FA inasubiri taarifa ya mwamuzi Moss aliyechezesha mchezo huo ili kupata taarifa zaidi juu ya kipi hasa kilitokea huku Mourinho pia akiwa tayari na adhabu yake mkononi kwa lugha isiyo ya kiunguana kwa mwamuzi.

Chelsea adhabu 1
Katika mchezo huo, Chelsea walifungwa goli 2-1 toka kwa Westham United zote za London na kuifanya Chelsea iendelee kubakia na points zake 11 katika nafasi ya 15.

Kocha Jose Mourinho amekalia kuti kavu hivi sasa klabuni hapo na tetesi zinasema huenda mchezo wa Chelsea dhidi ya Liverpool jumamosi hii ukaamua hatima ya Mourinho klabuni hapo endapo atapoteza mchezo huo.

Chelsea adhabu 3Tayari Carlo Ancelloti na Guss Hiddink wanatajwa kama mbadala wa haraka kama Jose Mourinho ataondoka klabuni hapo hivi karibuni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox