STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 27 Oktoba 2015

HIVI KARIBUNI TUNAKARIBIA KUONA KANISA LA KUMUABUDU KING ZLATAN IBRAHIMOVIC...................

zlatan
Moja ya swali ambalo Zlatan aliwai kuulizwa kwenye PSG Tv lilikua ni kwamba anatamani kuwa na Super power za Character gani.
 Watu walitegemea jibu lingekua labda superman au spiderman lakini Zlatan akasema hatamani zozote yeye mwenyewe na uwezo wake wa kucheza mpira anadhani ni Super power tosha.

Hicho ni kitu kimojawapo kinachomfanya Zlatan kuwa na mashabiki wengi na wengine wanamuita King Zlatan. Sasa habari mpya ni kwamba Zlatan amenunua sehemu moja ambayo zamani ilikua inatumika kama kanisa.

Sasa story ambayo mashabiki wake wanashabikia sana eti Zlatan anataka kufungua kanisa lake ambalo yeye ndio atakua anaabudiwa King Zlatan.

Japokua yeye hajazungumza chochote, wachambuzi wa mambo wanasema kwamba sehemu hiyo aliyonunua huko kwao Sweden ni kwa ajili ya mipango yake baada ya kumaliza soka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox