Aliifundisha Newcastle United 2007-2008,Sunderland-2015
Alladyce na anaungana na wachezaji kadhaa ambao wameshawahi kuingia kwenye rekodi ya kuvitumikia vilabu pinzani vya ligi moja kwa wakati tofauti – huku Big Sam akiwa kama kocha .
Wachezaji wanaounda kikosi cha wachezaji 11 waliowahi kuvitumikia vilabu pinzani vya ligi moja kwa wakati tofauti.
Golikipa: Petr Cech
Chelsea 2004-15, Arsenal 2015-…..
Beki wa Kulia: Christian Panucci
AC Milan 1993-96, Inter Milan 1999-2001
Beki wa kati William Gallas
Chelsea 2001-06, Arsenal 2006-10, Tottenham 2010-13
Beki wa kati: Sol Campbell
Tottenham 1992-2001, Arsenal 2001-06, 2010
Beki wa kushoto: Ashley Cole
Arsenal 1998-2006, Chelsea 2006-14
.
Winga wa kulia: Luis Figo
Barcelona 1995-2000, Real Madrid 2000-05
Kiungo wa kati: Patrick Vieira
AC Milan 1995, Inter Milan 2006-10
Kiungo mshambuliaji: Michael Laudrup
Barcelona 1989-94, Real Madrid 1994-96
Winga wa kushoto Peter Beardsley
Liverpool 1987-91, Everton 1991-93
.
Mshambuliaji: Ronaldo
Barcelona 1996-97, Inter Milan 1997-2002, Real Madrid 2002-07, AC Milan 2007-08
Mshambuliaji: Zlatan Ibrahimovic
Inter Milan 2006-09, AC Milan 2010-12
SUBS:
GK Angello Peruzzi
Roma 1986-89, 1990-91, Lazio 2000-07
DF Sinisa Mihajlovic
Roma 1992-94, Lazio 1998-2004
MF Clarence Seedoorf
Inter Milan 2000-02, AC Milan 2002-12
MF Paul Ince
Manchester United 1989-95, Liverpool 1997-99
MF Andrea Pirlo
Inter Milan 1998-2001, AC Milan 2001-11
FW Carlos Tevez
Manchester United 2007-09, Manchester City 2009-13
FW Roberto Baggio
AC Milan 1995-97, Inter Milan 1998-2000


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni