STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 3 Novemba 2015

HII NI NOMA,ROONEY AMTENGENEZEA MWANAYE UWANJA WA GOFU..............



Nahodha wa Man United, Wayne Rooney amemnunulia mwanaye uwanja mdogo wa gofu.

Rooney amenunua uwanja huo kwa ajili ya mwanaye Kai kama sehemu ya zawadi ya sikukuu yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza miaka 6.
Pamoja na kumnunulia zawadi mbalimba, Rooney ,29, alinunua uwanja huo kwa mwanaye kwa kuwa amekuwa mpenzi mkubwa wa mchezo wa gofu.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox