STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 17 Desemba 2015

BREAKING NEWS; JOSE MOURINHO ATIMULIWA CHELSEA.........



 Mourinho arrives to take Chelsea training at their Cobham base on Wednesday morning

Tajiri wa kirusi ambae ni mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amemtimua kazi kwa mara ya pili kocha wa klabu ya Chelsea,Mreno Jose Mourinho.
Chelsea SACK Jose Mourinho: Follow LIVE fallout


Hatua hiyo imekuja baada ya kukaa kikao cha takribani masaa 24 siku ya jana kati ya wakurungezi wa bodi wa timu hiyo na mmiliki huyo.

Jose Mourinho SACKED by Chelsea after disastrous Premier League start

Hatua imekuja baada ya mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Uingereza kuanza msimu vibaya tangu mmiliki huyo ainunue klabu hiyo na mpaka sasa Chelsea ipo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi kuu.


Team                                 P GDPts
1Leicester City161235
2Arsenal161633
3Manchester City161532
4Manchester United16929
5Tottenham Hotspur161226
6Crystal Palace16626
7Watford16225
8West Ham United16424
9Liverpool16124
10Everton16823
11Stoke City16-123
12Southampton16221
13West Bromwich Albion16-520
14Bournemouth16-1116
15Newcastle United16-1316
16Chelsea16-815
17Swansea City16-914
18Norwich City16-1014
19Sunderland16-1312
20Aston Villa

Taarifa rasmi klabuni hapo zinasema  watamtangaza kocha atakae chukua nafasi ya Jose Mourinho ingawa tayaru dalili za kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi Guus Hiddink atachukua madaraka ya kuinoa timu hiyo mpaka mwisho wa msimu
 

KLABU ALIZOFUNDISHA MOURINHO NA MATAJI ALIYOSHINDA

Benfica (2000)
Uniao de Leiria (2001-02)
Porto (2002-04) mataji mawili ya Ligi, kikombe kimoja na Ligi ya Mabingwa Ulaya moja
Chelsea (2004-07) mataji mawili ya Ligi Kuu England, moja la FA, mawili ya Kombe la Ligi
Inter (2008-10) mataji mawili ya Serie A, moja la Coppa Italia, moja la Ligi ya Mabingwa Ulaya
Real Madrid (2010-13) taji moja la La Liga, moja la Copa del Rey
Chelsea (2013-15) taji moja la Ligi Kuu England na moja la Kombe la Ligi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox