STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 16 Desemba 2015

MAYWEATHER AWAONYESHA WAARABU WA DUBAI JEURI YA FEDHA..............


Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather ameonyesha ana jeuri ya fedha hata kama akiwa Uarabuni.

Mayweather amenunua saa ya dola milioni moja akiwa Dubai ambako yuko mapumzikoni.
 
Saa hiyo aina ya Hubolt ndiyo saa ghali zaidi duniani.
 
Kama ingekuwa Tanzania, fedha hizo zingeweza kujenga angalau nyumba ya ghorofa ambayo ingeweza kuitwa nyumba ya kifahari. 

 
ANGALIA MAYWEATHER ANAVYOKULA BATA NDANI YA DUBAI NA MUONEKANO KAMA "USTAADHI"
 

Floyd Mayweather ameendelea kula bata huko Dubai, UAE. 

Mkali huyo alisafiri kutoka Marekani akiwa amebeba watu wengine 24 aliojumuika nao katika kipindi cha mapumziko huko Dubai.

Kilichowavutia wengi ni picha zake za mtandao wa kijamii wa Instagram akiwa amevalia vazi la Kiarabu, kanzu na hegal maarufu kama Kandora huko Dubai.

Mayweather anaonekana kuwa mtulivu ndani ya vazi hilo ambalo siku ya kwanza, lilizua gumzo mitandaoni.
AKIWA NA WASHKAJI ZAKE...


AKIWA NA MSAIDIZI WAKE WA KAZI...

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox