YAMETIMIA,
Rafa Benitez amefukuzwa Real Madrid baada ya miezi saba ya kuwa kazini
na sasa gwiji wa klabu na Mwanasoka Bora wa zamani wa dunia, Zinedine
Zidane amechukua nafasi yake.
Uamuzi huo umefikiwa katika cha dharula baada ya Real kulazimishwa sare ya 2-2 na Valencia Jumapili.
Rais
wa klabu, Florentino Perez amefikia uamuzi huo wakati klabu ikiwa
inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa La Liga, ikizidiwa pointi
mbili na mahasimu Barcelona, na nne dhidi ya vinara, Atletico Madrid.
Zidane na mke wake Veronique na watoto wao (kushoto na kulia ) Theo, Elyaz, Enzo na Luca
Kufukuzwa huku kumeibua maswali mengi kwa wadau mbalimbali wa soka huku wengi wakionekana kumpinga rais wa klabu hiyo Perez na moja ya wachambuzi wa soka Mr'Choi akisema.
"Unajua itafika muda tuhoji uwelewa wa viongozi katika vilabu juu ya maswala ya soka kwa namna moja au nyingine sikuona sababu za Perez kumtimua Ancelotti na hivi sasa sijaona sababu za mantiki ya kisoka za kumfukuza Benitez kiukweli hii inakuwa ni dharau kubwa sana.
Tumeona Mourinho katimuliwa Chelsea na sababu zipo hadharani lakini tumeona hali ya Manchester United mpaka sasa lakini Van Gaal bado ni kocha wa klabu hiyo sasa Perez anakipi cha kutujuza kilicho mfanya amtimue Benitez?
Perez anahitaji kocha wa dizaini gani? mbona halidhiki kiukweli ni miongoni mwa viongozi ambao hawalitendei haki soka, nadhani tusubiri tuone kama Zidane atamtosheleza Perez maana kazi ipo klabu tangu 1992 imewafukuza makocha wengi 23 wapo ambao kwa asilimia kubwa hawakustaili kufukuzwa au ndo tuseme mazoe hujenga tabia ama kilema?"
Hayo ni baadhi yaliosemwa na mchambuzi huyo lakini kufukuzwa kwake wengi wanahisi Gareth Bale ambae ni miongoni mwa wachezaji waliofanya vyema chini ya Benitez anaweza kutimka huku Manchester United wakipewa nafasi kubwa kumsajili.
Na hii inatokana na kocha mpya wa Real Madrid Zidane amekuwa amkubali mchezaji huyo wa Wales kuwa miongoni mwa wachezaji ghali na wenye uwezo mkubwa Duniani.
MAKOCHA 23 WALIOIFUNDISHA REAL MADRID TANGU 1992 NA MAFANIKIO YAO;
Benito Floro
Nationality: Spain
Reign: July 1, 1992 - March 7, 1994
Win percentage: 56.52%
Honours: Copa del Rey (1), Spanish Super Cup (1)
Vicente del Bosque
Nationality: Spain
Reign: March 7, 1994 - June 30, 1994
Win percentage: 45.45%
Jorge Valdano
Nationality: Argentina
Reign: July 1, 1994 - January 21, 1996
Win percentage: 50.00%
Honours: La Liga (1)
Vicente del Bosque
Nationality: Spain
Reign: January 21, 1996 - January 24, 1996
Win percentage: 100.00%
.
Arsenio Iglesias
Nationality: Spain
Reign: January 24, 1996 - May 29, 1996
Win percentage: 52.38%
Fabio Capello
Nationality: Italy
Reign: July 1, 1996 - June 24, 1997
Win percentage: 64.58%
Honours: La Liga (1)
Jupp Heynckes
Nationality: Germany
Reign: June 25, 1997 - May 28, 1998
Win percentage: 49.06%
Honours: Spanish Super Cup (1), Champions League (1)
Jose Antonio Camacho
Nationality: Spain
Reign: June 17, 1998 - July 9, 1998
Guus Hiddink
Nationality: Holland
Reign: July 15, 1998 - February 23, 1999
Win percentage: 55.88%
Honours: Intercontinental Cup (1)
John Toshack
Nationality: Wales
Reign: February 24, 1999 - November 17, 1999
Win percentage: 51.35%
Vicente del Bosque
Nationality: Spain
Reign: November 17, 1999 - June 23, 2003
Win percentage: 54.51%
Honours: La Liga (2), Spanish Super Cup (1), Champions League (2), Super Cup (1), Intercontinental Cup (1)
Carlos Queiroz
Nationality: Portugal
Reign: June 25, 2003 - May 24, 2004
Win percentage: 57.63%
Honours: Spanish Super Cup (1)
Jose Antonio Camacho
Nationality: Spain
Reign: May 25, 2004 - September 20, 2004
Win percentage: 66.67%
Mariano Garcia Remon
Nationality: Spain
Reign: September 20, 2004 - December 30, 2004
Win percentage: 60.00%
Vanderlei Luxemburgo
Nationality: Brazil
Reign: December 30, 2004 - December 4, 2005
Win percentage: 62.22%
Juan Ramon Lopez Caro
Nationality: Spain
Reign: December 4, 2005 - June 1, 2006
Win percentage: 50.00%
Fabio Capello
Nationality: Italy
Reign: July 5, 2006 - June 28, 2007
Win percentage: 56.00%
Honours: La Liga (1)
Bernd Schuster
Nationality: Germany
Reign: July 9, 2007 - December 9, 2008
Win percentage: 58.67%
Honours: La Liga (1), Spanish Super Cup (1)
Juande Ramos
Nationality: Spain
Reign: December 9, 2008 - June 1, 2009
Win percentage: 66.67%
.
Manuel Pellegrini
Nationality: Chile
Reign: June 2, 2009 - May 26, 2010
Win percentage: 75.00%
Jose Mourinho
Nationality: Portugal
Reign: May 28, 2010 - June 1, 2013
Win percentage: 71.91%
Honours: La Liga (1), Copa del Rey (1), Spanish Super Cup (1)
Carlo Ancelotti
Nationality: Italy
Reign: June 25, 2013 - May 25, 2015
Win percentage: 74.79%
Honours: Copa del Rey (1), Champions League (1), Super Cup (1), Club World Cup (1)
Rafa Benitez
Nationality: Spain
Reign: June 3, 2015 - January 4, 2016
Win percentage: 68%
JOHAN CRUYFF
Alishinda mataji 20 akiwa kama mchezaji na Ajax. na alishinda mataji14 kiwa kocha wa Barcelona
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni