STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 14 Januari 2016

MAGAZETI LEO ULAYA YALIVYOANDIKA KUHUSU USAJILI, LAVEZZI AGOMBANIWA

MENEJA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amemuwek kiungo wa Juventus Paul Pogba katika orodha yake ya juu katika usajili wa majira yajayo ya kiangazi.
Chanzo: Tuttosport

KLABU ya Atletico Madrid inatajwa kukaribia kumuongeza mkataba Antonie Griezmann ambao utafanya mshahara wake kuongezeka na ada ya kuvunja mkataba kupaa kutoka euro milioni 80 mpaka 100. Klabu za Paris saint-Germain na Real Madrid zote zinatajwa kumuwania.
Chanzo: AS

KLABU ya Galatasaray imeungana na Inter Milan, Chelsea na barcelona katika mbio za kumuwania Ezequiel Lavezzi ambaye amepanga kuondoka Paris Saint-Germain pindi mkatab wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu.
Chanzo: Calciomercato.com

KLABU ya manchester United inaripotiwa kuingia katika mbio za kumuwania mshambuliaji wa Sporting Lisbon Islam Slimani baada ya nyota huyo anayekadiriwa kuwa na thamani ya paundi milioni 13 kufunga mabao 13 katika mechi 16 msimu huu.
Chanzo: The Sun

MENEJA wa Manchester United anaweza kutimuliwa kama kikosi chake kikifungwa na Liverpool huku klabu hiyo ikihofia inaweza kukosa nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Chanzo: The Times

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox