STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 4 Januari 2016

Niyonzima adai mshahara au barua,Bossou, Diego wadai nakala za mikataba yao


Vincent Bossou
Vincent Bossou

Sakata la Haruna Niyonzima linazidi kufukuta, baada ya mchezaji huyo kuomba kulipwa mshahara wake au la sivyo kudai akabidhiwe barua ya kuvunjiwa mkataba.

Niyonzima ameamua kuidai Yanga mshahara baada ya kuona klabu hio ikipata kigugumizi cha kumkabidhi barua ya kuvunja mkataba.

Yanga wamekuwa wazito kuvunja mkataba wa Niyonzima huku juhudi zikiendelea za kupata suluhu baina yao na mchezaji. Chanzo cha karibu na Niyonzima kimeuambia mtandao wa Soka360 kuwa Yanga inamtumia waziri mmoja ambaye ni mpenzi wa klabu hio kujaribu kupata suluhu.

Wakati huo huo, baada ya Yanga kumtema Haruna Niyonzima, wachezaji wengine wa kigeni wa klabu hio wameamua kugoma wakishinikiza kupewa nakala za mikataba yao.

Beki Vincent Bossou na kiungo mshambuliaji aliyesajiliwa hivi karibuni, Boubacar Issoufou Garba wamegoma kujiunga na timu hio visiwani Zanzibar hadi wakabidhiwe nakala za mikataba yao.
Chanzo: Soka360

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox