STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 13 Januari 2016

RAFAEL BENITEZ NDANI YA ANFIELD TIZAMA PIA MATOKEO NA MSIMAMO WA EPL

  Liverpool 3-3 Arsenal: Joe Allen salvages a point with a late strike at Anfield, after





Firmino (kulia) akiifungia Liverpool katika sare ya 3-3 na Arsenal jana Uwanja wa Anfield


Giroud celebrates in front of the travelling Arsenal supporters after giving his side the lead against Liverpool



TIMU ya Liverpool imelazimishwa sare ya 3-3 na Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield.


 Roberto Firmino's second goal, shown through our superb MATCH ZONE 
Goli lapili la Firminho 
 
 





Roberto Firmino Barbosa de Oliveira aliifungia mabao mawili Liverpool dakika ya 10 na 19, wakati bao lingine lilifungwa na Joe Allen dakika ya 90, huku mabao ya Arsenal yakifungwa na Aaron Ramsey dakika ya 14 na Olivier Giroud mawili dakika ya 25 na 55.


 Former Liverpool manager Rafa Benitez, recently dismissed by Real Madrid, was at Anfield to watch the game against Arsenal
  Kocha wa zamani wa Liverpool,Rafael Benitez akiwa jukwaani Anfield





Pamoja na sare hiyo, Arsenal inaendelea kubaki kileleni ikifikisha pointi 43 baada ya kucheza mechi 21, sasa ikifungana na Leicester City kwa pointi na idadi ya mechi za kucheza.



Diego Costa akiwa amelala kwenye nyasi baada ya kukosa bao la wazi katika sare ya 2-2 na West Brom jana Uwanja wa Stamford Bridge



 

 






Chelsea nayo jana imelazimishwa sare ya 2-2 na West Bromwich Albion Uwanja wa Stamford Bridge, mabao yake yakifungwa na Cesar Azpilicueta dakika ya 20 na Gareth McAuley aliyejifunga dakika ya 73, huku mabao ya wageni yakifungwa na Craig Gardner dakika ya 33 na James McClean dakika ya 86.




 Chelsea 2-2 West Brom: James McClean nets late to secure point for Baggies after Gareth
 






Manchester City imelazimishwa sare ya 0-0 na Everton Uwanja wa Etihad, wakati Leicester City imefufua tena ndoto za ubingwa baada ya ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya Tottenham Hotspur, bao pekee la Robert Huth dakika ya 83 Uwanja wa White Hart Lane.





Robert Huth akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao pekee la ushindi dhidi ya Spurs Uwanja wa White Hart Lane jana

 









Sunderland imepata ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya Swansea City Uwanja wa Liberty. Mabao ya Sunderland yamefungwa na Jermain Defoe matatu dakika za tatu, 61 na 85 na lingine Patrick van Aanholt dakika ya 49, wakati ya wenyeji yamefungwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 21 kwa penalti na Andre Ayew dakika ya 40.




 Jermain Defoe of Sunderland holding the match ball to celebrate his hat trick

  Southampton imeshinda 2-0 dhidi ya Watford, mabao ya Shane Long dakika ya 17 na Dusan Tadic dakika ya 73.
 
Stoke City imeshinda 3-1 dhidi ya Norwich City, mabao ya Jonathan Walters dakika ya 49, Jose Luis Mato Sanmartin dakika ya 67 na Ryan Bennett aliyejifunga dakika ya 78, huku bao la wageni likifungwa na Jonny Howson dakika ya 55 Uwanja wa Britannia.






Mshambuliaji wa Manchester City, Raheem Sterling akiangushwa na John Stones wa Everton kwenye eneo la penalti, lakini refa alipeta jambo ambalo lilimkasirisha kocha Manuel Pellegrini 
 
MATOKEO LIGI KUU YA ENGLAND;
Januari 13, 2016
Tottenham Hotspur 0 - 1 Leicester City
Liverpool 3 - 3 Arsenal
Swansea City 2 - 4 Sunderland
Manchester City 0 - 0 Everton
Southampton 2 - 0 Watford
Stoke City 3 - 1 Norwich City
Chelsea 2 - 2 West Bromwich Albion
 
Januari 12, 2016
Aston Villa 1 - 0 Crystal Palace
Bournemouth 1 - 3 West Ham United
Newcastle United 3 - 3 Manchester United

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox