Kwa kupanda nafasi sita, Tanzania sasa inashika nafasi ya 126 duniani huku ikishikilia nafasi ya 39 barani Afrika. Uganda bado inaongoza kwa upande wa Afrika Mashariki ikiwa namba 62 duniani na ya 12 barani Afrika.
Belgium bado bado inaongoza duniani ikifuatiwa na Argentina na Hispania katika nafasi ya pili na tatu. Barani Afrika, Ivory Coast bado ipo juu ikishika nafasi ya 19 duniani. Algeria na Ghana zinafuatia zikishika nafasi ya 28 na 33 duniani na namba 2 na 3 barani Afrika.
Ivory Coast
ndio taifa pekee la Afrika
lililoko katika ishirini bora wakiwa nafasi ya 19, Algeria wako katika nafasi
ya 28 .
Kwa ukanda wa
Afrika Mashariki Uganda wanaongoza
wakiwa katika nafasi ya 63, Kenya wao wako nafasi ya 98,
Rwanda wako nafasi ya 101 huku majirani zao Burundi wakiwa katika nafasi ya 112, na Tanzania wao wako katika nafasi ya 132.
20 BORA:
1 Belgium
2 Argentina
3 Spain
4 Germany
5 Chile
6 Brazil
7 Portugal
8 Colombia
9 England
10 Austria
11 Uruguay
12 Switzerland
13 Ecuador
15 Italy
16 Romania
17 Wales
18 Croatia
19 Côte d'Ivoire
20 Hungary
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni