STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 9 Januari 2016

TETESI ZA USAJILI ZILIZOJIRI ULAYA, SOMA MAGAZETI YAO YALIVYOANDIKA, PEDRO KUREJEA BARCA


KLABU ya Manchester United inajipanga kutenga kitita cha paundi milioni 65 kwa ajili ya Eden Hazard baada ya kugundua kuwa na nafasi ndogo ya kumsajili Gareth Bale kutoka Real Madrid.
Chanzo: Daily Star

BODI ya Barcelona imeridhia kumpa nafasi Pedro ya kurejea kwa mkopo katika klabu hiyo kwa msimu uliobakia lakini meneja Luis Enrique hana mpango na mshambuliaji huyo na badala yake anaweza hata kumsajili mshambuliaji wa Celta Vigo Nilito.
Chanzo: Sport

MENEJA wa Liverpool, Jurgen Klopp anajipanga kumuwania Mario Gotze lakini klabu hiyo italazimika kutoa kitita cha euro milioni 50 kama watamuhitaji kiungo huyo wa Bayern Munich.
Chanzo: Bild

KLABU ya Juventus imekataa ofa ya paundi paundi milioni 20 iliyotolewa na Crystal Palace kwa ajili ya kumuwania Simeone Zaza.
Source: Tuttosport

OFA ya paundi milioni 14.8 iliyotolewa na Swansea City kwa ajili ya kumuwania mshambuliaji wa Napoli Manolo Gabbiadini mwenye umri wa miaka 24 imekataliwa.
Chanzo: Gazzetta dello Sport

KLABU ya Lazio ya Italia imeihabalisha Manchester United kujiandaa kutoa kitita cha paundi milioni 36 kama wanahitaji kumsajili Felipe Anderson.
Chanzo: The Sun

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox