STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 18 Machi 2016

ROBO FAINALI YA UEFA NI KIMBEMBE CHA HATARI!!

Live build-up to the quarter-final draw: watch at 12.00CET<br />
UEFA Champions League draw LIVE: Man City to face PSG as Barcelona are paired with 
Ratiba ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, imepangwa leo kule Nyon, Switzerland.

Mechi ambayo inaonekana kuwa gumzo ni ile kati ya Barcelona dhidi ya Atletico Madrid zote za Hispania.

Lakini inaonekana kama Real Madrid kama imepata mchekea kwa kupangwa na Wolfsburg ya Ujerumani huku PSG ikirudi kucheza tena England dhidi ya Manchester City.
Kumbuka michezo hiyo itachezwa mwezi ujao,mwezi wa nne tarehe 5/6 kisha tarehe 12/13
 UEFA Champions League quarter-final draw
 WolfsburgWolfsburg(GER) vReal MadridReal Madrid(ESP)
BayernBayern(GERvBenficaBenfica(POR)
BarcelonaBarcelona(ESP)vAtléticoAtlético(ESP)
ParisParis(FRA)vMan. CityMan. City(ENG)

EUROPA;TAREHE 7/4/2014 NA 14/4/2016 UEFA Europa League quarter-final draw

Braga Braga(POR)vShakhtar DonetskShakhtar Donetsk(UKR)
VillarrealVillarreal(ESP)vSparta PrahaSparta Praha(CZE)
AthleticAthletic(ESP)vSevillaSevilla(ESP)
DortmundDortmund(GER)vLiverpoolLiverpool(ENG)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox