STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 18 Machi 2016

UEFA KUZISHITAKI MAN UNITED NA LIVERPOOL KUTOKANA NA VURUGU.


UEFA KUZISHITAKI MAN UNITED NA LIVERPOOL KUTOKANA NA VURUGU. SHIRIKISHO la Soka la Ulaya-UEFA, imefungua kesi ya kinidhamu dhidi ya Manchester United na Liverpool kufuatia vurugu zilizotokea jana katika mchezo wa marudiano wa Europa League uliofanyika katika Uwanja wa Old Trafford ambapo watu watano walikamatwa. Taarifa zinadai kuwa watu wanne waliokamatwa ni mashabiki wa Liverpool na mmoja wa United baada ya vurugu hizo kutokea katika Jukwaa la Mashariki. Tukio limetokea wakati United wakipoteza kwa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya mahasimu wao Liverpool baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo huo wa maruadiano. Polisi katika jiji la Manchester wamesema pamoja na kukamata mashabiki hao lakini kwa ujumla mashabiki wengi walikuwa watulivu na kuwashukuru kwa ushirkiano waliotoa.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://ow.ly/KNICZ

Manchester United's Europa League clash against Liverpool at Old Trafford ended in crowd trouble after a Liverpool flag was unfurled

SHIRIKISHO la Soka la Ulaya-UEFA, imefungua kesi ya kinidhamu dhidi ya Manchester United na Liverpool kufuatia vurugu zilizotokea jana katika mchezo wa marudiano wa Europa League uliofanyika katika Uwanja wa Old Trafford ambapo watu watano walikamatwa. 
 
Taarifa zinadai kuwa watu wanne waliokamatwa ni mashabiki wa Liverpool na mmoja wa United baada ya vurugu hizo kutokea katika Jukwaa la Mashariki. 
 
Tukio limetokea wakati United wakipoteza kwa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya mahasimu wao Liverpool baada ya kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo huo wa maruadiano. 
 
Polisi katika jiji la Manchester wamesema pamoja na kukamata mashabiki hao lakini kwa ujumla mashabiki wengi walikuwa watulivu na kuwashukuru kwa ushirkiano waliotoa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox