STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 25 Machi 2016

SHUSHU WA CHELSEA ATIMBA MCHEZO WA ITALIA NA UHISPANIA............

 Meet Chelsea's ultimate behind the scenes man... Gary Staker went from being a club

 Mkalimani wa klabu ya Chelsea ambae yupo klabuni Chelsea tangu  alipokuwa Gianluca Vialli 1998 wakati anaifundisha Chelsea,namzungumzia  Gary Staker, ameonekana katika jukwaa akifuatilia mchezo wa kirafiki kati ya Italia dhidi ya Uhispania.

Katika mchezo huo ambao timu hizo zilitoka sare ya 1-1 mkalimani huyo ambae wengi humuita shushu wa klabu hiyo alionekana akiwa amekaa karibu na familia ya kocha wa Italia,Conte kocha ambae anatanjwa kwenda kuchukua nafasi ya Hidink baada ya msimu huu.


Chelsea player liaison Gary Staker (second from left) was spotted talking with Antonio Conte's agent and brother Daniele (sat in front) ahead of Italy's friendly international against Spain in Udine
Gary Staker (wa pili kushoto) akiwa karibu na agenti wa Conte na kaka wa Conte Daniele 

Staker worked as Claudio Ranieri's translator at Chelsea after previously being a steward at Stamford Bridge
Staker worked 

Staker's presence at the friendly fuelled speculation that Italy boss Antonio Conte will take charge at Chelsea Antonio Conte 
 
Jose Mourinho (centre) pictured sharing a joke with Chelsea staff member Staker (left) in 2004 in Porto
Jose Mourinho (katikati) akiwa na  Staker (kushoto) mwaka 2004

Chelsea manager Claudio Ranieri in tears at the final whistle after beating Arsenal 2-1 with his translator

Former Chelsea chairman Ken Bates makes a presentation to Staker at the club's Christmas party in 2001 Mwenyekiti wa zamani wa Chelsea Ken Bates akiwa na  Staker  2001

Former Chelsea manager Ranieri talks with his interpreter following the PFA Awards in London
Italian striker Pierluigi Casiraghi (left) with  Staker at Stamford Bridge after signing for the Blues in 1998 Mshambuliaji wa Italia,Pierluigi Casiraghi (kushoto) akiwa na  Staker Stamford Bridge 1998

  GARY STAKER NA MAKOCHA AMBAO KAFANYA NAO KAZI;

Guus Hiddink (2009, 2015-2016)
Guus Hiddink has had two spells at Chelsea and Staker is pictured behind the interim-manager last week
 
Jose Mourinho (2004-2007, 2013-2015)
Staker (far left) pictured stood in the tunnel during Jose Mourinho's second spell in charge at the club
 
Rafa Benitez (2012-2013)
Staker pictured stood behind Rafa Benitez, who was Chelsea manager between 2012 and 2013
 
Roberto Di Matteo (2012)
Staker (far left) pictured looking on as Fernando Torres is sent off under Roberto Di Matteo (far right)
 
Andre Villas-Boas (2011-2012)
Staker pictured stood behind Andre Villas-Boas, who was Chelsea manager between 2011 and 2012
Carlo Ancelotti (2009-2011)
Carlo Ancelotti was manager of Chelsea between 2009 and 2011, and Staker (right) is stood behind him
Luiz Felipe Scolari (2008-2009)
Another photograph showing Staker (bottom left) stood behind a boss with Luiz Felipe Scolari the manager
 
Avram Grant (2007-2008)
Avram Grant celebrates against Manchester United while Staker is pictured in the tunnel as per
 
Claudio Ranieri (2000-2004)
Staker acted as a translator for former Chelsea boss Ranieri, who was at the club between 2000 and 2004
 
Gianluca Vialli (1998-2000)
Chelsea's new player-manager Gianluca Vialli (left) and his translator (centre) with Bates (right) Gianluca Vialli (kushoto)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox