STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 19 Machi 2016

SIMBA NA KIIZA WAZIDI KUJIKITA KILELENI, WAICHAPA COAST MKWAKWANI 2-0,


Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliendelea tena jioni hii kwa kushuhudia timu ya Simba SC ikizidi kujikita kileleni kufuatia ushindi mnono wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union mchezo uliovurumishwa kwenye dimba la Mkwakwani Tanga.
image
Kwenye mchezo huo, Simba ilijipatia bao lake la kwanza kwenye dakika ya 42 ya kipindi cha kwanza kupitia kwa mchezaji wake Danny Lyanga.

Mpaka mapumziko Simba ndiyo walikwenda mapumziko wakiwa mbele kwa bao hilo moja.

Kipindi cha pili mshambuliaji Hamisi Kiiza, alizidi kulizamisha jahazi la timu ya Coastal Union baada ya kufunga bao la pili kwenye dakika ya 51 ya mchezo.

Kufuatia matokeo hayo Wekundu hao wanaonolewa na Kocha Jackson Mayanja wameendelea kujikita kileleni wakifikisha pointi 57 ikifuatiwa na timu za Yanga na Azam.


 MATOKEO MENGINE
COASTAL UNION
0
 : 
2
SIMBA SC
MAJIMAJI
3
 : 
1
MBEYA CITY
STAND UNITED
1
 : 
0
NDANDA FC


 

Msimamo wa Ligi Kuu Msimu Huu

RnTimuPWDLFAGdPts
1SIMBA SC24183343133057
2YANGA21155151114050
3Azam FC21155137132450
4MTIBWA SUGAR22116526151139
5T. PRISONS239952120136
6MWADUI FC239772219334
7STAND UNITED2494112022-231
8MAJIMAJI FC2476111633-1727
9NDANDA FC2351082024-425
10KAGERA SUGAR2467111825-725
11MBEYA CITY2466122333-1024
12TOTO AFRICANS225891930-1123
13JKT RUVU2356122333-1021
14MGAMBO SHOOTING2348111828-1020
15AFRICAN SPORT235513926-1720
16Coastal Union2447131531-1619

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox