STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 15 Aprili 2016

RATIBA YA NUSU FAINALI UEFA CHAMPIONS LIGI IPO HAPA NA UEFA EUROPA LIGI YANI NI KIMBEMBE....



                             
UEFA Champions League draw LIVE: Man City, Real Madrid, Atletico and Bayern fixtures


Ratiba ya nusu fainali michuano ya kombe la mabingwa Barani Ulaya imepangwa na kushuhudia Manchester City kutoka Uingereza ikipangwa na  Real Madrid ya Uhispania wakati Atletico Madrid pia ya Uhispania wakipangwa na  Bayern Munich ya Ujerumani.

Manchester City and Real Madrid have been paired together while Atletico Madrid will face Bayern Munich 






















Nusu fainali hizo zitachezwa April 26 na 27 huku marejeano yakiwa May 3 na 4.

 UEFA Champions League semi-final draw
                                         VS
UEFA Champions League semi-final draw

                                      First leg
        Manchester City vs Real Madrid - April 26
      Atletico Madrid vs Bayern Munich - April 27
                    
 UEFA Champions League semi-final draw
                                                VS
 UEFA Champions League semi-final draw
                                  Second leg
         Bayern Munich vs Atletico Madrid - May 3 
         Real Madrid vs Manchester City - May 4
                          KIKOSI BORA BAADA YA KUCHEZWA ROBO FAINALI;;
             
              
Watch the semi-final draw stream LIVE

                   
Ratiba ya nusu fainali michuano ya kombe la Uefa Europa ligi  imepangwa na kushuhudia Shakhtar Donetsk ya Ukraine ikipangwa na Sevilla ya Uhispania wakati Liverpool ya Uingereza wakipangwa na Villareal ya Uhispania.

UEFA Europa League semi-final draw results
 Nusu fainali hizo zitachezwa April 28 huku marejeano yakiwa May 5

 UEFA Europa League semi-final draw
                                                         VS

 UEFA Europa League semi-final draw
                    
UEFA Europa League semi-final draw
                                                                                  VS
 UEFA Europa League semi-final draw

                             KIKOSI BORA BAADA YA KUCHEZWA ROBO FAINALI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox