STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 8 Aprili 2016

TAARIFA RASMI KUHUSU KUONESHWA MCHEZO WA YANGA NA AL AHLY.....

YANGA imeiuzia Azam TV haki za kurusha mechi ya kwanza ya hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
 
Maana yake kesho Watanzania wote wataushuhudia mchezo huo kupitia Televisheni nchini.

 
Azam TV wamefanikiwa kupata haki hizo baada ya kuwapiku Al Ahly ambao pia walikuwa wanataka haki za kurusha mechi hiyo.

 
Mapema jana Yanga iliwagoma Al Ahly kurusha matangazo ya mechi hiyo.

 
Yanga watakuwa wenyeji wa Ahly kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika na Ahly walitaka wachukue matangazo kwa ajili ya kurusha Misri tu.

 
Hata hivyo, leo uongozi wa Ahly umethibitisha rasmi kwamba umenyimwa haki hiyo na utaonyesha mechi hiyo kupitia mitandao tu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox