Sare ya bao 2-2 kati ya Chelsea vs Tottenham Jumatatu usiku, ilipeleka mafaniko makubwa kwenye kikosi cha Claudio Ranieri.
Leicester ilianza msimu huu ikiwa na presha ya kunusurika kushuka daraja msimu uliopita na haikuwa ikiwaziwa kama ingeweza kuchukua ndoo katika historia ya soka la England.
Wapinzani wake wa karibu katika harakati za kuwania taji hilo Spurs, Arsenal, Manchester City, Manchester United pamoja na mabingwa watetezi Chelsea wote wamechemka kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo kama Leicester kwenye msimu huu.
MATCH STATS
CHELSEA:
Begovic 6, Ivanovic 5, Cahill 6.5, Terry 6.5, Azpilicueta 6, Mikel 6,
Matic 6 (Oscar 78,), Willian 7, Fabregas 6, Pedro 5 (Hazard, 46, 7),
Costa 6.
Subs not used: Baba, Traore, Kenedy, Amelia, Loftus-Cheek.
Booked: Ivanovic, Mikel, Willian
Goals: Cahill 58, Hazard 83
Manager: Guus Hiddink
TOTTENHAM: Lloris
6.5, Walker 6.5, Alderweireld 7, (Chadli 90), Vertonghen 7, Rose 7.5
(Davies 82), Dier 6.5, Dembele 6.5, Lamela 7.5, Eriksen 7.5, Son 7.5
(Mason 65, 6), Kane 8.
Subs not used: Vorm, N'Jie, Wimmer, Carroll
Booked: Walker, Vertonghen, Rose, Dier, Dembele, Mason, Eriksen, Lamela, Kane
Goals: Kane 35, Son 44
Manager: Mauricio Pochettino
Referee: Mark Clattenburg
Attendance: 41,545
PICHA ZA MATUKIO BAADA YA LEICESTER KUTWAA UBINGWA
Baada ya klabu ya Leicester City kutangaza Ubingwa kufuatia sare ya goli 2-2 waliotoka Tottenham Hotspurs dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge, wachezaji wa Leicester City kwa pamoja walikusanyika katika nyumba ya Jamie Vardy ambaye ni mchezaji mwenzao wa timu hiyo na kuanza kusherekea
.
Kiungo wa Leicester Matty James (katikati) akiwa ndani ya gari na King na Drinkwater
Nyota karibia wote wa Leicester City waliwasili kwa Vardy huku baadhi ya mashabiki wakiishia kuzunguuka nyumba ya Vardy na kushangazwa na wachezaji hao wa Leicester City ambao wametwaa Ubingwa mbele ya timu vigogo kama Chelsea, Man United Arsenal na nyinginezo.
Christian Fuchs (kushoto) na Robert Huth wakiwasili kwa Jamie Vardy Melton Mowbray
Shinji Okazaki (kushoto) na Gorkan Inle
Liam Moore (anayeendesha) na Jeff Schlupp wakiwasili nyumbani kwa Vardy huku mashabiki wao wakiwapiga picha
Nahodha wao Wes Morgan akiwasili pekee yake kwenye gari
MATUKIO MENGINE ;
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni