STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 8 Agosti 2014

MSHAMBULIAJI RAIA WA BOTSWANA ATUA DAR, MASHABIKI KUMUONA KESHO SIMBA DAY

RAMA (MWENYE JEZI YA BLUU), TAYARI AMETUA JIJINI DAR.
 Mshambuliaji Jerome Ramatlhakwane ametua jijini Dar es Salaam, tayari kwa kuanza majaribio katika kikosi cha Simba
. Mshambuliaji huyo raia wa Botswana ametua na kupokelewa na Meddy, kiongozi wa Simba.
Taarifa zinasema, Rama ataanza mazoezi leo na kesho anatarajia kucheza katika tamasha la Simba Day
Umri wake ni miaka 19, Mazembe iliamua kumpeleka Don Bosco kwa mkopo, timu hiyo inamilikiwa na mtoto wa Moise Katumbi, mmiliki wa TP Mazembe.

Kaichezea timu ya taifa ya Botswana mechi 37, kafunga mabao 20, moja likiwa dhidi ya Taifa Stars, Julai Mosi, mwaka huu, Deo Munishi ‘Dida’ akiwa langoni na Stars ikalala 4-2.

Pamoja na kucheza kwao Botswana, amecheza pia Afrika Kusini katika

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox