NYOTA wa Togo, Emmanuel Adebayor ameteuliwa kuwa Nahodha Msaidizi wa Tottenham Hotspur, chini ya Mfaransa Younes Kaboul.
Mfaransa
huyo ameiongoza Spurs mara kadhaa msimu huu kama nahodha wa mechi na
sasa kocha Mauricio Pochettino amempa moja kwa moja beji hiyo akirithi
mikoba ya beki Michael Dawson, aliyehamia Hull City mwezi uliopita.
Adebayor atakuwa Nahodha Msaidizi pamoja na kipa Hugo Lloris.



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni