CHELSEA
imesonga mbele Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One baada ya
kuichapa mabao 2-1 kwa mbinde Bolton Wanderers Uwanja wa Stamfrod Bridge
usiku wa kuamkia leo.
Beki Mfaransa, Kurt Zouma aliifungia timu ya Jose Mourinho bao la kwanza dakika ya 25 kabla ya Nahodha wa Bolton, Matt Mills kusawazisha dakika sita baadaye.
Sifa zimuendee Oscar aliyefunga bao la ushindi kwa The Blues kwa shuti la umbali wa mita 25 dakika ya 55.

Chelsea
(4-2-3-1): Cech 6; Azpilicueta 6.5, Zouma 7, Cahill 6.5, Luis 7; Mikel 6.5,
Ake 7; Salah 7 (Hazard 79),Oscar 7, Schurrle 6.5; Remy 6 (Drogba 73).
Subs: Ivanovic, Hazard, Drogba, Matic, Schwarzer,
Christensen, Baker.
Bolton
(4-5-1): Lonergan
7.5; Herd 6, Mills 6.5, Dervite 6, Moxey 5, Feeney 5 (Spearing 68, 5), Danns 5,
Pratley 5, Kamara 5, Davies 5 (Lee 52); Beckford 5
Subs: Clayton, McNaughton, Ream, Spearing, Mason,
Kenny.
Booked: Pratley
Referee: Graham Scott (Oxfordshire) - 6.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni