Mshambuliaji
 wa Arsenal, Danny Welbeck (katikati) akipiga mpira kitaalamu katika 
mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Aston Villa mbele ya mabeki Alan 
Hutton (kulia) na Senderostry. Welbeck alifunga bao moja katika ushindi 
wa 3-0 leo. 

Welbeck akiifungia Arsenal dhidi ya kipa wa Villa, Brad Guzan 

Kwa nyuma Welbeck akiifungia Arsena bao la pili akitazamana na Guzan
Kiungo wa Villa, Carlos Sanchez akijaribu kumdhibiti Welbeck 


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni