STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 18 Septemba 2014

OLE GUNNAR AACHIA NGAZI CARDIFF CITY


Rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa kikosi cha Cardiff City, Ole Gunnar Solskjaer ameachia ngazi.
Solskjaer, 41, ameachia ngazi baada ya kufanya mazungumzo na mwenyekiti wa klabu hiyo, Mehmet Dalman.

Cardiff hawakuwa na mwendo mzuri hata baada ya kuporomoka hadi daraja la kwanza.
Katika timu 20 wako katika nafasi ya 17 ikiwa ni baada ya kupoteza mechi sana mfululizo.
Mechi ya mwisho walifungwa juzi Jumanne, wakiwa nyumbani walilala kwa bao 1-0 dhidi ya Middlesbrough ikiwa ni siku chache baada ya kufungwa 4-2 dhidi ya Norwich.
Nafasi ya Ole sasa itashikiliwa na beki mkongwe Danny Gabbidon akisaidiana na Scott Young.
Ole, mshambuliaji nyota wa zamani wa Man United alichukuliwa ili kuisaidia klabu hiyo kuepuka kuteremka kutoka Ligi Kuu England, lakini ikashindikana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox