STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 27 Novemba 2014

Hii ndio idadi ya miaka ambayo Wilshare amepoteza kucheza soka kutokana na majeruhi

KDQVPQ8Kiungo wa kimataifa wa England na timu ya Arsenal  Jack Wilshere alipata majeruhi na kutolewa kwenye mchezo wa ligi kuu ya England dhidi ya Manchester United jumamosi iliyopita.
Baada ya vipimo vya madaktari imefahamika kwamba Jack Wilshare ameumia enka ya mguu na ataka nje ya uwanja kwa miezi miwili.
Majeruhi yamekuwa yakiamuandama sana kiungo huyu, hasa kwenye eneo la enka ya mguu ambayo ameshaumia mara 9, na hivyo kumsababishia kukaa nje ya uwanja kwa wiki zipatazo 112.
Hii ni sawa sawa na miaka miwili ambayo kaipoteza kwenye maisha yake ya soka kutokana na majeruhi ya enka, jambo ambalo limepelekea mashabiki wa timu pinzani kumtengenezea picha ya kiti cha kutembelea walemavu maarufu kama Wheelchair na kukiita – Wilshare

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox