STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 6 Novemba 2014

RONALDO NA SUAREZ WAGAWANA VIATU VYA DHAHABU



MSHAMBULIAJI CRISTANO RONALDO AMEKABIDHIWA KIATU CHAKE CHA DHAHABU BAADA YA KUFUNGA MABAO 31 MSIMU ULIOIPITA.

MWINGINE ALIYEPEWA KIATU HICHO NI LUIS SUAREZ AMBAYE ALIFUNGA IDADI HIYO YA MABAO AKIWA NA LIVERPOOL MSIMU ULIOPITA.

KIATU HICHO NI CHA TATU KWA RONALDO BAADA YA KUFUNGA MABAO MENGI ZAIDI MWAKA 2008 NA 2011.

KAWAIDA ZAWADI HIYO HUENDA KWA MFUNGAJI WA KLABU ALIYEFUNGA MABAO MENGI ZAIDI UKILINGANISHA NA WAFUNGAJI WENGINE WA LIGI ZA NCHI MBALIMBALI BARANI ULAYA.

WAFUNGAJI WOTE WALIOPATA VIATU VYA DHAHABU
MSIMUMCEHZAJIKLABULIGIMABAO
2001Henrik LarssonCeltic Scottish Premier League35
2002Mário JardelSporting CP Portuguese Primeira Liga42
2003Roy MakaayDeportivo La CorunaLa Liga29
2004Thierry HenryArsenalPremier League30
2005Thierry HenryArsenalPremier League25

Diego ForlanVillarrealLa Liga25
2006Luca ToniFiorentinaSerie A31
2007Francesco TottiRomaSerie A26
2008Cristiano RonaldoManchester UnitedPremier League31
2009Diego ForlánAtletico MadridLa Liga32
2010Lionel MessiBarcelonaLa Liga34
2011Cristiano RonaldoReal MadridLa Liga40
2012Lionel MessiBarcelonaLa Liga50
2013Lionel MessiBarcelonaLa Liga46
2014Cristiano RonaldoReal MadridLa Liga31

Luis SuarezLiverpoolPremier League31

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox