
United iko alama moja nyuma ya
Wajerumani hao katika kundi lao kufuatia sare ya bila kufungana
waliyopata dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi.

United sasa watahitajika
kushinda ili kusonga mbele kwasababu wana alama moja nyuma ya PSV
wanaowafuatia ambao wana rekodi nzuri walipokutana nao.

Akihojiwa Van
Gaal amesema kila kitu kinawezekana na wana uwezo wa kushinda mahali
popote kwani wameonyesha hilo katika Ligi Kuu na sasa wanapaswa kufanya
katika michuano hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni