Hii ilikuwa sahihi: Robben akiruka kwenda chini na refa Mreno, akawapa penalti Uholanzi dakika za majeruhi
WINGA
Arjen Robben alijaribu kumdanganya refa katika mchezo wa 16 Bora jana
Kombe la Dunia, Uholanzi ikiifunga mabao 2-1 Mexico na kwenda Robo
Fainali.
Mholanzi
huyo alisema kwamba
alijirusha kutafuta penalti, lakini lie iliyotolewa dakika ya tatau ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida, ambayo Uholanzi waliitumia kusonga mbele katika mbio za kukimbilia Kombe la Dunia.
alijirusha kutafuta penalti, lakini lie iliyotolewa dakika ya tatau ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 za kawaida, ambayo Uholanzi waliitumia kusonga mbele katika mbio za kukimbilia Kombe la Dunia.
Robben
aliomba penalti mbili zilizokjataliwa mapema katika mchezo huo - kabla
ya Klaas Jan Huntelaar kufunga dakika za majeruhi bao la ushindi - na
baadaye akaomba radhi kwa kujaribu kutaka kumdanganya refa Mreno, Pedro
Proenca.
"Lazima
niombe radii "amesema Robben. "Moja [mwishoni] ilikuwa penalti, lakini
nyingine zile zilikuwa za kujirusha kipindi cha kwanza. Nisingefanya
hivyo.'
Robben
alipewa penalti ya dakika za lala salama baada ya kuangushwa na Nahodha
wa Mexico, Rafael Marquez, lakini nyota huyo wa Bayern Munich awali
alikataliwa matatuta mawili aliyolilia, wakayti timu yake ikiwa nyuma
kwa bao 1-0.
Baadaye
Uholanzi ikasawazisha, zikiwa zimebaki dakika tatu mchezo kumalizika
kupitia kwa Wesley Sneijder na katika dakika za majeruhi, Robben
akaangushwa katika penalti iliyokubalika na Huntelaar akaifungia timu
hiyo bao la ushindi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni