STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 27 Julai 2014

CECAFA KAGAME CUP: YANGA YAASWA KUSHIRIKI KWAKE KUTAISAIDIA!

HUKU kukiwa na tetesi nzito kwamba Yanga inatafakari uwezekano wa kujitoa kushiriki Mashindano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA KAGAME CUP, ambayo yatachezwa huko Kigali Nchini Rwanda kuanzia Agosti 8 na kumalizika Agosti 24, baadhi ya Wadau wake wameitaka isichukue uamuzi huo.KAGAME_CUP_2012
Kwenye Ratiba iliyotolewa na CECAFA Wiki iliyopita, Yangawamepangwa Kundi A na wataanza kwa kuivaa Rayon Sports ya Rwanda kwenye Uwanja wa Amahoro, Kigali hapo Ijumaa Agosti 8.
+++++++++++++++++++
MAKUNDI:
KUNDI A
-Rayon Sports [Rwanda]
-Yanga [Tanzania]
-Coffee [Ethiopia]
­-Atlabara [South Sudan]
-KMKM [Zanzibar]
KUNDI B
-APR FC [Rwanda]
-KCCA [Uganda]
-Flambeau de l'est [Burundi]
-Gor Mahia [Kenya]
-Telecom [Djibouti]
KUNDI C
-Vital'O [Burundi]
-El Merreikh [Sudan]
-Benadir [Somalia]
-Polisi [Rwanda]
+++++++++++++++++++
Aliewahi kuwa Kocha Msaidizi wa Yanga, Kennedy Mwaisabula, ameiasa Yanga kwamba
itakuwa ni aibu kwao kujitoa kwani Mashindano hayo ni muhimu kwa ajili ya matayarisho yao kwa ajili ya Msimu mpya wakiwa chini ya Kocha mpya Marcio Maximo kutoka Brazil.
Vile vile Mwaisabula alisema Mashindano hayo yatawasaidia sana Wachezaji wao wapya hasa Wabrazil wawili, Genilson Santos Santana ‘Jaja’ na Andrey Marcel Ferreira, kupata uzoefu wa Soka la maeneo yetu.
Akijibu madai ya Yanga kwamba hawajapata mwaliko rasmi kutoka CECAFA, Kocha huyo wa zamani ameeleza CECAFA haipaswi kuwajulisha Vilabu binafsi bali huwasiliana na TFF.
Mwaisabula pia amesema Kagame Cup huchezwa kila Mwaka na kwa vile Yanga ndio walikuwa Mabingwa wa Tanzania Bara Mwaka Jana walipaswa kuujua ushiriki wao.
Pia, alikumbushia TFF ilivyolazimika kuahirisha kuanza kwa VPL, Ligi Kuu Vodacom, kutoka Agosti 24 na sasa kuanza Septemba 20 ili kuruhusu Timu zake zishiriki.
RATIBA KAMILI:
TAREHE
NA
MECHI
KUNDI
UWANJA
Ijumaa Agosti 8
1
Atlabara v KMKM
A
NYAMIRAMBO

2
Rayon v Yanga
A
AMAHORO

3
Gor Mahia v KCCA
B
AMAHORO
Jumamosi Agosti 9
4
Vital ‘O’ v Banadir
C
AMAHORO

5
Police v El Mereikh
C
AMAHORO

6
APR v Flambeau
B
AMAHORO
Jumapili Agosti 10
7
KMKM v Young
A
AMAHORO

8
Telecom Vs KCCA
B
NYAMIRAMBO

9
Coffee v Rayon
A
AMAHORO
Jumatatu Agosti 11
10
Banadir v El Mareikh
C
NYAMIRAMBO

11
Gor Mahia v Flambeau
B
‘’

12
Vital ’O’ v Police
C
‘’
Jumanne Agosti 12
13
KMKM v Coffee
A
‘’

14
Yanga v Atlabara
A
‘’
Jumatano Agosti 13
15
APR  v Telecom
B
‘’

16
KCCA v Flambeau
B
‘’
Alhamisi Agosti 14
17
Coffee v Atlabara
A


18
Rayon  v KMKM
A


19
Police v Banadir
C

Ijumaa Agosti 15
20
Flambeau v Telecom
B


21
APR v Gor mahia
B


22
El Mareikh v Vital ‘O’
C

Jumamosi Agosti 16
23
Coffee v Yanga
A


24
Rayon v Atlabara
A

Jumapili Agosti 17
25
Telecom v Gormahia
B


26
KCC v APR
B

Jumatatu Agosti 18

MAPUMZIKO


Jumanne Agosti 19

ROBO FAINALI



27
C1 v B3

NYAMIRAMBO

28
A1 v B2

‘’
Jumatano Agosti 20
29
A2 v C2

‘’

30
B1 v A3

‘’
Alhamisi Agosti 21

MAPUMZIKO


Ijumaa Agosti 22

NUSU FAINALI



31
32
Mshindi 27 v Mshindi 28
Mshindi 29 v Mshindi 30

AMAHORO
Jumamosi Agosti 23

MAPUMZIKO


Jumapili Agosti 24

MSHINDI WA 3 & FAINALI



33
34
Mfungwa 31 v Mfungwa 32
Mshindi 31 v Mshindi 32

AMAHORO
**MUDA WA KUANZA MECHI UTAAMULIWA KATI YA CECAFA, FERWAFA NA SUPERSPORT KWA AJILI YA MATANGAZO LAIVU YA TV.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox