STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 11 Julai 2014

HATIMAYE SANCEZ AKAMILISHA MPANGO MZIMA ARSENAL


Kifaa kipya: Sanchez anakuwa mchezaji wa kwanza kuswajiliwa na Arsene Wenger kuelekea msimu mpya
MSHAMBULIAJI Alexis Sanchez - ambaye Arsenal wanaamini atawapa ubingwa wa Ligi Kuu ya England, amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 30 kutka Barcelona.
Nyota huyo wa Chile, ambaye alikatisha mapumziko yake mafupi kwenda kukamilisha uhamisho wake kutua London, amekamilisha vipimo vya afya na kusaini Mkataba wa miaka minne, wenye kipengele cha uwezekano wa kuongezewa miezi 12 ambao utamfanya alipwe mshahara wa Pauni 140,000 kwa wiki. 
Kiwango hicho kitamfanya alingane na mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani, kiungo Mesut Ozil aliyekuwa anaongoza kulipwa Gunners.
"Nina furaha mno kujiunga na Arsenal, klabu ambayo ina kocha babu kubwa, kikosi chenye wachezaji wazuri haswa, sapoti kubwa dunia nzima na Uwanja mkubwa mjini London,'amesema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25.
 
Imminent: Sanchez is flying to London to confirm the deal
Thumbs up: Sanchez is expected to sign a five-year deal and become joint top earner at Arsenal
Sanchez amesaini Mkataba wa miaka mitano ambao utamfanya alipwe Pauni 140,000 kwa wiki Uwanja wa Emirates

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox