Mshambuliaji Mario Balotelli, leo ameanza mazoezi na kikosi cha Liverpool.
Hata hivyo, amefanya mazoezi peke yake bila ya wachezaji wengine ikiwa ni baada ya kukabilisha uhamisho huo kutoka AC Milan.
Inaonekana
hatacheza mechi dhidi ya Manchester leo lakini anaweza kuhudhuria
ingawa imeelezwa Liverpool walikuwa na mpango wa kuhakikisha anacheza.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni