Lionel
Messi aliifungia Barca bao la kwanza baada ya kuwazidi ujanja mabeki
sita Elche, kabla ya kinda Munir El Hadaddi kufunga la pili, mabao yote
kipindi cha kwanza.
Nyota wa Argentina, Lionel Messi alifunga bao lake la pili na la tatu la kuhitimisha ushindi wa Barca baada ya jitihada binafsi kipindi cha pili.
Paka mweusi alikatiza Uwanja wa Camp Nou mwanzoni tu mwa mchezo na kusababisha mechi isimame kwa muda ili aondoke.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni