STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 4 Agosti 2014

MAREFA MAFEDHULI WAPO DUNIA NZIMA, ANGALIA HAWA WA ARSENAL NA MONACO NAO WALIVYOINYIMA PENALTI YA HALALI GUNNERS

Marefa mafedhuli wapo dunia nzima! Refa Martin Atkinson na wasaidizi wake wakitoka uwanjani wanafurahi baada ya kuinyima penalti ya wazi Arsenal ikifungwa 1-0 na Monaco katika Kombe la Emirates jioni ya leo
In the nick of time: Chuba Akpom nips in and takes the ball round Monaco keeper Daniel Subasic
Dhuluma hii: Chuba Akpom akimpiga chenga kipa wa Monaco, Daniel Subasic kwenye eneo la hatari
Akpom akiangushwa chini ndani ya eneo la hatari na kipa wa Monaco
Baffling: Despite the incident being a good yard inside the box, a free-kick was given
Licha ya kuangushwa ndani ya boksi, refa huyo akatoa mpira nje upigwe mpira wa adhabu badala ya kutoa penaltiSpot on: Martin Atkinson points to the penalty spot after Akpom was brought down
Kwanza Martin Atkinson alielekeza mpira utengwe kwenye eneo la penaltiChange of heart: Atkinson eventually gave a free-kick after advice from his assistant referee
Lakini akabadilisha mawazo baada ya kushauriwa na wasaidizi wake
Livid: Mathieu Flamini (centre) protests after the baffling decision
Mathieu Flamini (katikati) akilalamikia maamuzi ya refa huyo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox